
Uchambuzi wa kitabu cha leading through inflation by ram charan. MIKAKATI YA KUENDESHA KAMPUNI WAKATI WA UCHUMI MGUMU, MDORORO NA MFUMUKO WA BEI. Kumhusu Mwandishi Ram Charan ni mshauri wa biashara na uongozi mwenye uzoefu wa muda mrefu wa kufanya kazi na CEO na viongozi wa mashirika...



