UWEKEZAJI NA BIASHARA KATI YA TANZANIA NA KENYA: TUKO WAPI?

Wiki hii tumeshuhudia historia kubwa: Mfanyabiashara mkubwa wa Tanzania, *Bwana Rostam Azizi, amenunua *asilimia 54.08% controlling stake katika Nation Media Group (NMG) – moja ya kampuni kubwa zaidi ya magazeti, TV na vyombo vya habari nchini Kenya. Hii ni hatua ya kihistoria na inaonyesha kuwa WaTanzania wanaweza na wanapaswa kuwekeza moja kwa moja Kenya na EAC. Mtazamo wangu ni kwenye uono wa biashara na uwekezaji. Pamoja na hilo lakini hii inatufanya tujiulize maswali magumu kulingana na data (kutoka ripoti za EAC, TIC, BOT ): Ni sahihi kusema Bwana Rostam Azizi ameonyesha njia nyingine badala ya kungoja Kenya ije tu, tunaweza kuenda na kuwekeza Kenya na EAC? Swali kwa mjadala wetu leo: Nini maoni yako?

UWEKEZAJI NA BIASHARA KATI YA TANZANIA NA KENYA: TUKO WAPI? Read More »